Simamia mauzo kidigitali zaidi, iwe biashara ya jumla au rejareja.

Karibu

Huu ni mfumo kwa ajili ya kusaidia utunzaji wa kumbukumbu za mauzo,Mapato na matumizi katika biashara. Umetengenezwa na TODAYSKY COMPANY LIMITED .. Kwa sasa unakuwezesha kufanya yafuatayo.

 1. Kusimamia miradi mbalimbali ndani ya mfumo mmoja
 2. Kutunza taarifa za mauzo katika biashara
 3. Kutengeneza ankra(Invoice) za kulipia cash na kukopesha
 4. Kutunza taarifa za wateja waliohudumiwa
 5. Kusajili bidhaa zote
 6. kuingiza stock iliyopo stoo, pia iwapo itaisha unaweza kuongeza pia stock mpya.
 7. Kuhifadhi kumbukumbu za matumizi katika biashara mfano malipo ya kodi ya pango, umeme, nk
 8. Kupata ripoti za mauzo ya kila siku kwa njia ya barua pepe.
 9. Kupata ripoti ya mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka mzima
 10. Kutunza kumbukumbu ya malipo ya wafanyakazi
 11. Uwepo wa kutoa ofa na punguzo kwa wateja katika misimu mbalimbali.
 12. Kusimamia wafanyakazi, uwezo wa kuongeza wafanyakazi kwenye mradi kulingana na kazi anayoifanya, mfano store manager, msimaizi wa mauzo nk.
Tengeneza akaunti ya kwanza bure
Sajili
Ingia